Kutoka kwa muongozaji mpya wa video (video director) wa After DayLight Films, anayekwenda kwa jina la Raph Tz, hii hapa video mpya ya msanii wa kizazi kipya kutoka Dodoma, Brezy akimshirikisha Malisam, wimbo unaitwa "MAMA LAO"
Audio ilifanywa na Kimambo Touches
0 comments:
Post a Comment