Producer Lamar anaendelea na project yake inayojulikana kama Refix ya kuzirudia nyimbo za Bongo Fleva ili kuzipa ladha nyingine masikioni mwa watu ambapo kwenye mfululizo wa utoaji wa hizo single jana alizindua hii ya Ali Kiba kwenye Double XXL Clouds FM 88.5.
Isikilize hapa
0 comments:
Post a Comment