Nipe Nikupe ni moja kati ya project kali inayotarajiwa kutoka katika studio ya BIORN Production ya nchini Sweden toka kwa ndugu yetu, mtanzania mwenzetu na mkali wa sweet reggae, ragga na staili nzuri, Kaboku Tanzaniano.
Project hiyo inatarajiwa kutoka rasmi mwanzoni mwa mwaka 2015.
Project hiyo inatarajiwa kutoka rasmi mwanzoni mwa mwaka 2015.
Hebu angalia video hapa:
0 comments:
Post a Comment